Mzimu wa Dansi "Ngoma Africa Band umetimiza miaka 20 na bado unatisha!
Mabalozi
wa kiafrika nchini Ujerumani wamewapongeza FFU wa Ngoma Africa Band kwa
kuchukua tena International Diaspora Award 2013 Bendi bora ya Kiafrika
Ulaya.
Ngoma Africa Band ilifanikiwa kuutetea ubingwa wake wa
bendi bora na kujichukulia Tuzo ya kimataifa ya IDA mjini Tubingen,
Ujerumani katika maonyesho ya kimataifa ya International African
Festival Tubingen 2013.
No comments:
Post a Comment