Monday, 5 August 2013

TBS YAFUNGA VIWANDA VYA MIKATE MKOA WA DODOMA

 

Shirika  la viwango Tanzania (TBS) limevifungia viwanda vitatu vya kutengeneza mikate  mkoani Dodoma kutoka  viwanda hivyo kutokuwa na ubora unaotakiwa kwa kanuni za kiafya. navyo ni Capital bakery. kizota bakery

No comments:

Post a Comment