Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa
nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao
watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi
ni ndefu, so jipangeni na team nzima ya Clouds itakuwa pande hizo. List
inaenda kama hivi.
Godzilla
Young Killa
Ney Lee
Stamina
Shet a
Shilole
Weusi (Joh,Niki wa Pili, G nako)
Chege
Temba
Madee
Recho
Linex
Peter Msechu
Baba Levo
AY
No comments:
Post a Comment