KCB BANK WAFUTURISHA JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Chama Cha
Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), akisalimiana na Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara (CCM) Philiph Mangula muda mfupi
kabla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya KCB jijini Dar es Salaam jana.
Katikati ni mwenyekiti wa bodi ya KCB Benki Docta Edmund Mndolwa.
Mkurugenzi mtendaji wa Benki
ya KCB Moezz Mir akiteta jambo bna Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi
(CUF) muda mfupi kabla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya KCB jijini
Dar es Salaam…
No comments:
Post a Comment