DIVA LOVENESS" MTU AKISEMA MIMI RAFIKI AKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU"
Maneno ya Diva aliyoandika haya hapa:
"Just Saying… maana hawa hawa
wanaozunguka wenzao na kujifanya wanajali ndio wanafiki na wambea
hatari. nashukuru Mungu sinaga rafiki hata wakumpa siri zangu maana ……
na kiukweli mtu akisema mie rafiki yake anajidanganya. mie huwa nachora
tu watu hata sometimes nikiwa naongea nao, very selective. na Mpaka
dakika hii miaka 4 sasa sinaga so called rafiki kibongobongo. no new
friends. i ‘m always into My highschool buddies yaani. so know your
Options and make the right choice"
No comments:
Post a Comment