"VIONGOZI WANAOMTETEA SHEIKH PONDA NI WANAFIKI WAKUBWA.....WAKATI ANAHUBIRI UCHOCHEZI MLIKUWA WAPI?"..WILLIAM MALECEL
Hii
ni kauli ya mtoto wa kigogo hapa nchini maarufu kwa jina
la William Malecela ambayo ameitoa kupitia Jamiiforum
"Nimekuwa nikimfuatilia Sheikh Ponda kwa
karibu sana toka wakati wa vurugu za MwembeChai, since then amegeuka
kuwa a very mysterious creature almost becoming like John Gotti the once
feared New York City's Mafian Don.
"Baada ya kusoma kwa makini comments
nyingi sana between the media na Social Media za Tanzania, za kutoka kwa
wananchi mpaka Viongozi wengi wa Siasa wa Taifa toka ashambuliwe
majuzi, ninauona unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu sana, kweli kama
hili Taifa we are not Taifa la Wanafiki, basi we are almost there to
become one!. I mean who is Ponda? What does he stand for? Who pays for
his bills and WHY?
"I will never support violence, lakini
here we have a Muslim Leader preaching violence, every where he talks
the man preaches violence sijasikia Kiongozi yoyote wa Taifa akijitokeza
kumlaani Ponda na message zake!,...
"Leo the very Violence he preaches
comes to haunt him, eti tuna Viongozi wa Taifa wanaodai Uchunguzi na
maneno mengi ya Siasa ambayo wala hayahusu kabisa.
"Wanatuambia nini sisi
wananchi wengine wa kawaida kwamba ku-preach violence is ok but when
that violence comes to haunt you then where is the government? Really?
What government? Halafu eti kuna Viongozi wa Taifa hili wanaojaribu
kujikomba komba na kuongea maneno ya kinafiki waonekane wapo sawa na
hawa wanaomlilia? Please!!
"Amepigwa risasi 20 Biliionea Arusha
majuzi mbona hajatokeza Kiongozi hata mmoja wa Siasa kumlilia na kutaka
waliompiga wakamatwe haraka sana?
"Amememwagiwa tindikali Mfanya
biashara maarufu hapa mjini mbona hatujasikia hawa wanasiasa uchwara
wakilia lia wakamatwe waliommwagia?
"Wananchi wangapi wanapigwa Risasi
kila siku nchini mbona hatujasikia hawa Viongozi wakilalamika kwamba
wahusika wakamatwe? Stop this madness please....
"Viongozi wote wanaolilia
na ishu ya Ponda ni wanafiki wakubwa na ni hatari sana kwa hili Taifa.
And yes I said it, ni wanafiki wakubwa they all need to go!
" I mean what
is so special about Ponda kwamba Serikali iache kazi zake za kawaida
ianze kuwatafuta waliompiga Risasi? Vipi wananchi wengi walioumizwa na
kupoteza maisha yao kutokana na mafundisho ya sumu za Ponda?
"I mean it is about time now wale
Viongozi wote wanaolialia kuhusu waliomrushia risasi Ponda kujiuzulu
kwa sababu wote ni infit kuongoza hili Taifa, na Viongozi wa juu wa
Serikali acheni kujipendekeza na maneno maneno ya kujifanya kuwatuliza
hawa wanao lia lia, na maneno ya tume!
"Tume my left foot, Ponda ni
mwananchi kama wengine wote so tatizo lake lichukuliwe kama mengine na
Serikali should get tough na wajinga wajinga kama Ponda, nothing but a
******** in the cover of religion!,
"I mean wananchi Millioni 44 tunakaa
tunasumbuliwa na mwanachi mmoja kila siku? how could that be? Enough! and yes I said it he is nothing but a coackroach in the cover of religion!!"
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
Le Mutuz
SOURCE:Jamiiforum
No comments:
Post a Comment