Saturday 20 July 2013

Zambia vs Zimbabwe fainali Cosafa leo


                                Timu ya taifa ya mpira ya zambia



   
             
                                     Timu ya taifa ya mpira ya Zimbambwe 

Fainali ya  kombe la mataifa la Shirikisho la soka la kusini mwa Afrika Cosafa inachezwa jumamosi hii, ikiwa ni kati ya  Zambia mwenyeji wa mashindano  na  Zimbabwe mchezo utakaofanyika. Zambia iliibwaga Afrika kusini katika pambano la nusu fainali Jumatano kwa mikwaju  ya penalty mabao 5-3, baada ya  kumaliza  muda wa kawaida na nyongeza zikiwa bila kwa bila. Zimbabwe  mabingwa watetezi wa kombe hilo nayo ikaiadhibu Lesotho mabao 2-1  katika nusu fainali nyengine. Pambano hili lla fainali kati ya Zambia na Zimbabwe katika uwanja wa  Levy Mwanawasa mjini Ndola, ni sawa na marudio ya ile ya  2009.

No comments:

Post a Comment