Saturday, 20 July 2013
Waziri wa kwanza mweusi nchini Italia afananishwa na sokwe
Cecile Kyenge
Waziri wa kwanza mweusi katika baraza la mawaziri nchini Italia.Waziri huyo Cecile Kyenge mwenye asili ya Kongo alifananishwa na sokwe na Seneta mmoja-Roberto Calderoli ambae pia ni naibu wa Spika wa baraza la seneti nchini Italia. Waziri Kyenge amesema kauli ya Seneta huyo haikumkashifu yeye,bali imeikashifu Italia. Roberto Calderoli ni mwanachama wa chama cha Northern League kinachowakilisha msimamo kwamba mhamiaji aliezaliwa nje ya Italia hawezi kuwa waziri nchini humo. Lakini kwamba Seneta huyo ameomba radhi
Labels:
NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment