Thursday 18 July 2013

JE Unajuwa......?????




JE  Unajuwa......?????   kuwa   kidogo  cha  halali ni bora  kuliko   kingi  cha   haramu?  Na  ujinga usio  na hasara  ni bora kuliko elimu  isiyo na  faida??  Pia  njaa   isiyo   ua   bora  kuliko  shibe  ya masimango? Tena kidogo cha  mkononi  ni bora  kuliko  kikubwa  cha ahadi.    ELEWA   anayekukosoa  ni bora  kuliko  anayekukalia  kimya. Ila  wewe  usiogope  piga moyo konde  sema  nitashinda kwa uwezo wa  MUNGU

No comments:

Post a Comment