Thursday 18 July 2013

Jee binadamu asiesali afanishwe na nani’’…..



Ngamia  Alijisifia   kwa   kujitapa   yeye bora kuliko  ng’ombe


Ng’ombe  akasema name pia   ni bora   kuliko punda


Punda  nae akasema sawa  lakini na mimi  ni bora  kuliko n mbwa


Mbwa alikubali  lakini  nae  hakujiangusha akasema yeye pia ni bora kuliko nguruwe


Nguruwe  alikubali  kwa shingo upasnde baadae  nguruwe nae akasema hata yeye  ni bora kuliko binanadamu asie sali


Jee binadamu asiesali afanishwe na nani’’…..?

No comments:

Post a Comment