Friday 19 July 2013

NAJMUNISA LAPATA AJALI ENEO LA KONGWA ILIOPO DODOMA



Basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali eneo la Mbande iliyopo  Kongwa mkoani Dodoma na kuua watu wanne na kujeruhi abiria kadhaa. Basi hilo lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele. Majeruhi  wanne mahuti wamepelekwa  hospital  ya Rufaa ya mkoa  wa  Dodoma

No comments:

Post a Comment