Ngamia  Alijisifia   kwa  
kujitapa   yeye bora kuliko  ng’ombe
Ng’ombe  akasema name pia   ni
bora   kuliko punda
Punda  nae akasema sawa  lakini na mimi  ni
bora  kuliko n mbwa 
Mbwa alikubali  lakini  nae  hakujiangusha
akasema yeye pia ni bora kuliko nguruwe 
Nguruwe  alikubali  kwa shingo upasnde
baadae  nguruwe nae akasema hata yeye  ni bora kuliko binanadamu asie
sali
Jee binadamu asiesali afanishwe na nani’’…..?
 
No comments:
Post a Comment