Showing posts with label UTANI. Show all posts
Showing posts with label UTANI. Show all posts

Thursday, 18 July 2013

MAMA NA MTOTO




MTOTO:   anamwambia   mama   yake, mama   unajua   housegirl  wetu ni    malaika !!!!!!!!!!!
MAMA  : akauliza kwa  nini????
MTOTO:   akasema   jana   nilimuona   ameshika   ukuta   akiwa   uchi    anaongea  na YESU.  Oooh   YESU   wangu taratibu......YESU   wangu   naumia  jamani. Yani   isingekuwa  BABA    kumshikilia kwa  nyuma  nae  uchi  saa  hizi   angekuwa   MBIGUNI!!!!
MAMA:  puuuu   chini

MAJANGA YA FACEBOOK



Majanga:Binti   kaweka   picha   ya baba yake   kama   profile   picture   kwenye   facebook  kwamba   ANAMUENZI.
Binti   mwingine  rafiki yake  alivyo iona  akamtumia   message  inbox   shosti   kumbe  na wewe      unamjua  huyo mbaba? Hapendi   kutumia  condom   hata  kidogo.  Na anapenda    mlango  wa  uwani  balaaa   usipompa   hakojoi   ng’oo  mtakesha......

FACE OF DAY



JE  SURA   YANGU  IKOJE
1.     Ya   Hasira
2.     Ya  kupendeza
3.     Ya  Furaha
4.     Ya  huzuni
5.     Ya  kung’aa
6.     Ya  Kimahaba
7.     Ya  kichoyo
8.     Ya  kitoto
9.     Ya  matukio
10.   Ya  uaminifu
11.   Ya kipole 
12.    Ya kihuni
13.  Ya kinafiki
14  Ya amani

LIST YA WASUKUMA WALIOZAMIA USA




1.     Rick   Ross   (Mabula  Jinasa lung’wecha)


2.     Kanye  West9  Shija   Bundara  Madilisha)


3.     Chris   Brown (Kanoni  Masebu   Mbusa0


4.     Young  Jeez (  Daniel Magula   N’Chembe)


5.     Jay  z  (  Nyanda Itolabusega)


6.     Nelly(  Lugw’echa  Nshimo)


7.     50 cent  ( Kipeja  Mang’ondi)


Jee binadamu asiesali afanishwe na nani’’…..



Ngamia  Alijisifia   kwa   kujitapa   yeye bora kuliko  ng’ombe


Ng’ombe  akasema name pia   ni bora   kuliko punda


Punda  nae akasema sawa  lakini na mimi  ni bora  kuliko n mbwa


Mbwa alikubali  lakini  nae  hakujiangusha akasema yeye pia ni bora kuliko nguruwe


Nguruwe  alikubali  kwa shingo upasnde baadae  nguruwe nae akasema hata yeye  ni bora kuliko binanadamu asie sali


Jee binadamu asiesali afanishwe na nani’’…..?