Msekwa Amjibu kauli ya Nape
Haiwezekeni
mchezaji makini aliejindaa kwa mechi afunge bao kwa mkono. Goli kama
hilo litafutwa na refa. Naomba wananchi wapuuzie maneno ya upuuzi kama
hayo.
Kufunga goli
la mkono ni faul na moja kwa moja litakataliwa na refa ambayo ni Tume ya
Uchaguzi. Kauli mbaya kama hizo zinaweza kufanya Wananchi kukosa imani
na Serikali na kuleta machafuko na ninaamini haya ninayoyasema ndio
msimamo wa chama changu.
Pius Msekwa.2.07.2015 (ITV, kipindi cha Mzelendo).
No comments:
Post a Comment