Basi la
Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata
ajali eneo la Mbande iliyopo  Kongwa mkoani
Dodoma na kuua watu wanne na kujeruhi abiria kadhaa. Basi hilo lililokuwa
linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele. Majeruhi  wanne mahuti wamepelekwa  hospital  ya Rufaa ya mkoa  wa 
Dodoma 
 
No comments:
Post a Comment