JE 
Unajuwa......?????   kuwa   kidogo  cha  halali
ni bora  kuliko   kingi  cha   haramu? 
Na  ujinga usio  na hasara  ni bora kuliko elimu  isiyo
na  faida??  Pia  njaa   isiyo  
ua   bora  kuliko  shibe  ya masimango? Tena kidogo
cha  mkononi  ni bora  kuliko  kikubwa  cha ahadi.   
ELEWA   anayekukosoa  ni bora  kuliko 
anayekukalia  kimya. Ila  wewe  usiogope  piga moyo konde 
sema  nitashinda kwa uwezo wa  MUNGU 
 
No comments:
Post a Comment