Pengo: Nimesamehe
Askofu mkuu wa
jimbo kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema
amemsamehe mchungaji Gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema
hayo wakati wa Misa Takatifu ya Jumapili ya matawi tarehe 29th March
2015 katika kanisa kuu la ST Joseph Cathedral .
"Naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa
nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote
walioguswa sina kinyongo chochote"
Waumini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama.
No comments:
Post a Comment