Lowasa ameshauri kuwa watu wanaotaka kwenda nyumbani kwake kumuomba
kwamba ajiandae kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Urais
waache kwanza hadi pale Chama chake kitakapotoa taarifa za kuanza
kufanya kampeni.
Tamko lake linakuja baada ya baadhi ya watu tangu mwishoni mwa wiki
iliyopita kufika nyumbani kwake na kumtaka kuwa ajiandae kwa kutangaza
nia ya kugombea na wao watamchangia fedha za kuchukulia fomu.
Chanzo: Chanel 10
No comments:
Post a Comment