WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki
kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere.
Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini
Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu.
Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge
la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa maadhimisho hayo
yatafanyika mkoani Tabora
No comments:
Post a Comment